Joti TV
Joti TV
  • 323
  • 183 928 611
MKE WA KIPOFU
Wamama kuweni na huruma hasa wanaume zenu wakiwa kwenye changamoto za ulemavu, Acheni kuchit alafu ndani...
Переглядів: 157 160

Відео

KACHOMESHA
Переглядів 145 тис.День тому
Wazazi ambao ni majambazi kuweni maakini na serikali, Kazi ya serikali ni kulinda raia na mali zao Sasa mtoto kachomesha
SIFA ZA KIJINGA
Переглядів 187 тис.14 днів тому
Hivi wanaume hizi sifa za kijinga zinawaisha lini? Unajitoa kwa mwanamke asiekupenda kisa akikudanganya tu unalainika...
NALOGA SHULE
Переглядів 135 тис.21 день тому
Wazazi muwe maakini mnapokwenda kwenye mambo yenu ya siri na watoto wenu, mtakuja kuaibika mbele ya wenzenu...
DUKANI KWA MEKU
Переглядів 244 тис.Місяць тому
Mkiona muuza duka kamuacha mtoto wake dukani ujue anamfundisha kuuza duka, Sasa wateja wenye tamaa msitumie hiyo nafasi kama fimbo.
MAJUNGU PLESI
Переглядів 216 тис.Місяць тому
Wadada muwe maakini na wanaume mnaoishi nao kwenye maisha yenu. Wengi wao ni wambea sana hawana kaba ni watoa siri...
GOOGLE
Переглядів 248 тис.Місяць тому
Wadada wa mjini punguzeni ujuaji kama Google mkifika ukweni ili mpate Ndoa, Kujifanya kila kitu unajua ndoa mtaisikia tu...
BINTI YANGU
Переглядів 190 тис.Місяць тому
Binti namsomesha kwa shida alafu unataka kumchezea nitakuuwa, Sasa Nishai kayakanyaga.
SINGO MAZA
Переглядів 262 тис.2 місяці тому
Jamani Ma singo maza wanaume hawatafutwi kwa ubabe, Tutaanza kuwaogopa sasa.... Alafu msipende kubambika watoto baba ambao sio wao.
TAMAA
Переглядів 222 тис.2 місяці тому
Wazazi waambieni vijana wenu waache tamaa, Wajifunze kuvumilia hasa kwa hii Dunia laa sivyo watakalia...
PUNJE
Переглядів 186 тис.2 місяці тому
Hii tabia ya watoto kipindi cha sikukuu hupenda sifa sana pindi wageni wanapokaribishwa kula,na watoto wengi wamekomeshwa adabu kwa staili hii..
KUBUSTI
Переглядів 241 тис.2 місяці тому
Dunia ya leo kupata mke asiechepuka nje wakati huo mbaba umepatwa na magonjwa kama kusukari jogoo alipandi mtungi shukuru mungu...
TUNATAKA MPUNGA
Переглядів 192 тис.2 місяці тому
Siku zote ubaya unalipwa kwa wema, Na uzuri wa wema unapenya popote sasa kula wema wa babu
CHUNGU CHA LEO!
Переглядів 387 тис.3 місяці тому
Jamani KUFUNGA usikie tu,Kuna watu hakika wanafunga MATENDO,ila wengine Wanafunga kula,CHUNGU CHA LEO
NAMLOGA
Переглядів 242 тис.3 місяці тому
Jamani kama mtu hakupendi usilazimishe mapenzi Utajiingiza kwenye imani zingine yakukute makubwa, Kama hupendwi achika...
BABA WA IMANI
Переглядів 176 тис.3 місяці тому
BABA WA IMANI
HATONGOZEKI
Переглядів 312 тис.3 місяці тому
HATONGOZEKI
USINGIZI DARASANI
Переглядів 331 тис.4 місяці тому
USINGIZI DARASANI
ASKAR FEKI
Переглядів 444 тис.4 місяці тому
ASKAR FEKI
MAMA MDOGO
Переглядів 266 тис.4 місяці тому
MAMA MDOGO
SIO MTOTO
Переглядів 215 тис.4 місяці тому
SIO MTOTO
KACHUKUA NYWELE
Переглядів 233 тис.5 місяців тому
KACHUKUA NYWELE
KITOWEO
Переглядів 337 тис.5 місяців тому
KITOWEO
NI ADA TU
Переглядів 177 тис.5 місяців тому
NI ADA TU
WANASEMAJE
Переглядів 97 тис.5 місяців тому
WANASEMAJE
FUNGA MWAKA
Переглядів 212 тис.5 місяців тому
FUNGA MWAKA
SIKUKUU PASUA
Переглядів 233 тис.6 місяців тому
SIKUKUU PASUA
MJANE NA MGANE
Переглядів 182 тис.6 місяців тому
MJANE NA MGANE
MUHUNI WA ZAMANI
Переглядів 247 тис.6 місяців тому
MUHUNI WA ZAMANI
TUNAJIBUSTI
Переглядів 292 тис.6 місяців тому
TUNAJIBUSTI

КОМЕНТАРІ